-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Ila kwa macho yako utatazama, na kuyaona malipo ya wasio haki.” (Zaburi 91:7, 8)
-
-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Tuwe Wakristo watiwa-mafuta au waandamani wao waliojiweka wakfu, sisi tu salama “mahali pa siri” pa Mungu. Sisi ‘hutazama tu na kuona malipo ya wasio haki,’ ambao huvuna matatizo kibiashara, kidini, na katika njia nyinginezo.—Wagalatia 6:7.
-