-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
13. Ni mabaya gani ambayo hayatatupata, na kwa nini?
13 Ingawa usalama wa ulimwengu huu unazorota, tunamtanguliza Mungu na kupata ujasiri kutokana na maneno haya ya mtunga-zaburi: “Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; umefanya Aliye juu kuwa makao yako.
-
-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Naam, Yehova ndiye kimbilio letu. Sisi pia humfanya Aliye juu kuwa ‘makao yetu,’ ambapo tunapata usalama. Sisi humsifu Yehova kuwa Mwenye Enzi Kuu ya Ulimwengu, ‘hukaa’ kwake akiwa Chanzo cha usalama wetu, na kutangaza habari njema za Ufalme wake. (Mathayo 24:14)
-