Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Hekima ya Mungu Katika Siri Takatifu”
    Mkaribie Yehova
    • 13, 14. (a) Kulingana na Zaburi 110, Yehova anamwahidi nini Mfalme wake aliyetiwa mafuta? (b) Manabii wa Yehova walifunua mambo gani mengine kuhusu Mzao ambaye angekuja?

      13 Daudi aliongozwa kuandika hivi: “Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, hata niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.

  • “Hekima ya Mungu Katika Siri Takatifu”
    Mkaribie Yehova
    • Zaburi 110:1,

  • “Hekima ya Mungu Katika Siri Takatifu”
    Mkaribie Yehova
    • Maneno hayo ya Daudi yalimhusu moja kwa moja, Mzao aliyeahidiwa, au Mesiya. (Matendo 2:35, 36) Mfalme huyo hangetawala kutoka Yerusalemu, bali kutoka mbinguni kwenye ‘mkono wa kuume’ wa Yehova. Basi angekuwa na mamlaka, si juu ya nchi ya Israeli tu, bali juu ya dunia yote. (Zaburi 2:6-8)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki