-
Waadilifu Watamsifu Mungu MileleMnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
-
-
Ameangaza katika giza kama nuru kwa walio wanyoofu. Yeye ni mwenye neema na mwenye rehema na mwadilifu.” (Zab. 112:3, 4)
-
-
Waadilifu Watamsifu Mungu MileleMnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
-
-
10 Wakristo watiwa-mafuta, pamoja na waandamani wao, hawawanyimi wengine utajiri wao wa kiroho. Badala yake, ‘wameangaza kama nuru kwa walio wanyoofu’ katika ulimwengu wa Shetani wenye giza. Wanafanya hivyo kwa kuwasaidia wengine wafaidike na hazina za kiroho za hekima na ujuzi wa Mungu.
-