-
Waadilifu Watamsifu Mungu MileleMnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
-
-
15, 16. (a) Habari mbaya za ulimwengu zina matokeo gani juu ya waadilifu? (b) Watumishi wa Mungu wameazimia kuendelea kufanya nini?
15 “Kwa kuwa hatatikiswa kamwe. Mwadilifu atakuwa kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo.
-
-
Waadilifu Watamsifu Mungu MileleMnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
-
-
Wanaweza kuvumilia misiba inayotokea kwa sababu wanategemea msaada wa Yehova. Haruhusu kamwe waadilifu wake ‘watikisike,’ anawapa nguvu ili wavumilie.—Flp. 4:13.
-