Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waadilifu Watamsifu Mungu Milele
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
    • Moyo wake hauwezi kutikiswa; hataogopa, mpaka awatazame wapinzani wake.” (Zab. 112:6-8)

  • Waadilifu Watamsifu Mungu Milele
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
    • Wale ambao Mungu anawaona kuwa waadilifu hawawezi kuepuka matokeo mabaya ya habari hizo mbaya, lakini hawafi moyo kwa sababu ya woga. Badala yake, mioyo yao iko “imara” na ‘haitikiswi’ kwa kuwa wanatazamia wakati ujao wakiwa na uhakika, huku wakijua kwamba ulimwengu mpya wa Mungu wenye uadilifu unakaribia. Wanaweza kuvumilia misiba inayotokea kwa sababu wanategemea msaada wa Yehova.

  • Waadilifu Watamsifu Mungu Milele
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 15
    • Bila shaka, waadilifu wataendelea kupata upinzani kadiri mwisho unavyokaribia. Chuki hiyo itafikia upeo wakati Shetani Ibilisi atakapowashambulia ulimwenguni pote akiwa Gogu wa Magogu. Mwishowe, ‘tutawatazama wapinzani wetu’ wakiangamizwa kabisa. Litakuwa jambo lenye kusisimua kama nini kuona jina la Yehova likitakaswa kabisa!—Eze. 38:18, 22, 23.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki