Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ni Msaidizi Wetu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
    • Chanzo Kinachotegemeka cha Msaada

      3. Huenda mtunga-zaburi aliinua macho yake kuelekea milima gani, na kwa nini?

      3 Mtunga-zaburi alianza kwa kueleza kwamba kwa kuwa Yehova ndiye aliyeumba kila kitu, tuna msingi wa kuwa na uhakika. Alisema hivi: “Nitainua macho yangu milimani. Msaada wangu utatoka wapi?

  • Yehova Ni Msaidizi Wetu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
    • Zaburi 121:1

  • Yehova Ni Msaidizi Wetu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
    • Mtunga-zaburi aliinua macho yake kuelekea milima fulani hususa. Maneno hayo yalipoandikwa, hekalu la Yehova lilikuwa Yerusalemu. Jiji hilo lililokuwa juu ya milima ya Yuda, lilifananisha makao ya Yehova. (Zaburi 135:21) Huenda mtunga-zaburi aliinua macho yake kuelekea milima ya Yerusalemu ambako hekalu la Yehova lilijengwa, huku akitegemea msaada wa Yehova akiwa na uhakika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki