-
Yehova, Mungu wa UkweliMnara wa Mlinzi—2003 | Agosti 1
-
-
Mtunga-zaburi aliandika hivi: “BWANA, ni nani atakayekaa katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu?
-
-
Yehova, Mungu wa UkweliMnara wa Mlinzi—2003 | Agosti 1
-
-
Kwa Wayahudi walioimba maneno hayo, kutajwa kwa mlima mtakatifu wa Yehova kuliwakumbusha Mlima Sayuni, ambapo Mfalme Daudi alileta sanduku la agano kwenye hema alilojenga huko. (2 Samweli 6:12, 17) Mlima na hema viliwakumbusha mahali ambapo Yehova alikaa kwa njia ya mfano. Watu wangeweza kumkaribia Mungu na kumsihi ili kupata kibali chake mahali hapo.
-