Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova, Mungu wa Ukweli
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Agosti 1
    • Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo wake.” (Zaburi 15:1, 2)

  • Yehova, Mungu wa Ukweli
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Agosti 1
    • 18. (a) Ni nini kinachohitajiwa ili kuwa rafiki ya Mungu? (b) Ni nini kitakachozungumziwa katika makala inayofuata?

      18 Yeyote anayetaka kuwa rafiki ya Yehova lazima aseme ukweli “kwa moyo wake,” si kwa mdomo tu. Marafiki wa kweli wa Mungu lazima wawe wanyofu moyoni na lazima wathibitishe kwamba wana “imani bila unafiki,” kwa kuwa matendo ya ukweli hutoka moyoni. (1 Timotheo 1:5; Mathayo 12:34, 35) Rafiki ya Mungu si mwenye hila wala si mdanganyifu, kwa kuwa “BWANA anachukia . . . mwenye hila.” (Zaburi 5:6, Zaire Swahili Bible) Mashahidi wa Yehova duniani pote hujitahidi kusema ukweli kwa kumwiga Mungu wao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki