Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uumbaji Hutangaza Utukufu wa Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Juni 1
    • “Kamba yake ya kupimia imefika duniani pote, na maneno yake yamefika kwenye miisho ya nchi yenye kuzaa.” (Zaburi 19:3, 4) Ni kana kwamba ‘kamba za kupimia’ kutoka mbinguni zimefika ili kuhakikisha kwamba ushahidi wao wa kimya-kimya umeenea kila mahali duniani.

      8, 9. Ni mambo gani yenye kutokeza kuhusu jua?

      8 Kisha, Daudi anaeleza jambo lingine lenye kustaajabisha kuhusu uumbaji wa Yehova: “Katika hizo [mbingu zinazoonekana] amewekea jua hema,

  • Uumbaji Hutangaza Utukufu wa Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Juni 1
    • Inapotazamwa kutoka duniani wakati wa kutua, nyota hiyo yenye nguvu huonekana kama inaingia katika “hema” kupumzika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki