Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tembea Katika Njia ya Utimilifu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 1
    • “Ee Unikomboe na Kunionyesha Kibali”

      22-24. (a) Unapata kitia-moyo gani katika maneno ya kumalizia ya Zaburi 26? (b) Tutazungumzia mtego gani katika makala inayofuata?

      22 Daudi alimalizia maneno aliyomwambia Mungu kwa kusema hivi: “Mimi nami nitatembea katika utimilifu wangu. Ee unikomboe na kunionyesha kibali.

  • Tembea Katika Njia ya Utimilifu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 1
    • Zaburi 26:11,

  • Tembea Katika Njia ya Utimilifu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 1
    • Azimio la Daudi la kudumisha utimilifu linahusiana sana na ombi lake la kukombolewa. Hilo linatia moyo kama nini! Licha ya hali yetu ya dhambi, Yehova atatusaidia ikiwa tumeazimia kutembea katika njia ya utimilifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki