-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
kutambua maneno ya ufahamu [“uelewevu,” “NW”]; kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili.
-
-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Ufahamu wenye kina wahitaji mtu ajue sababu na kuelewa ni kwa nini mwenendo fulani ni mbaya au ni mzuri. Kwa mfano, mtu mwenye uelewevu aweza kufahamu mtu anapokengeuka, na huenda mara moja akamwonya kuhusu hatari ya kufanya hivyo. Lakini anahitaji ufahamu wenye kina kutambua ni kwa nini mtu huyo anakengeuka na kutokeza njia ifaayo zaidi ya kumwokoa.
-