-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Mfalme aanza na shauri hili lililo kama la baba: “Mwanangu, yashike maneno yangu, na kuziweka amri zangu akiba kwako.
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Wazazi, hasa akina baba, wana daraka walilopewa na Mungu la kufundisha watoto wao viwango vya Mungu vya mema na mabaya. Musa aliwahimiza akina baba hivi: “Maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.” (Kumbukumbu la Torati 6:6, 7) Naye mtume Paulo aliandika hivi: “Nanyi, akina baba, msiwe mkiwasumbua watoto wenu, bali endeleeni kuwalea katika nidhamu na rekebisho la akilini la Yehova.” (Waefeso 6:4) Kwa hiyo, maagizo ya mzazi yanayopasa kuthaminiwa sana, bila shaka yatia ndani, vikumbusha, amri, na sheria zilizo katika Neno la Mungu, Biblia.
Mafundisho ya mzazi yaweza kutia ndani pia kanuni nyinginezo—sheria za familia. Hizo ni za kuwafaidi washiriki wa familia. Ni kweli kwamba ikitegemea mahitaji, sheria zaweza kutofautiana kati ya familia mbalimbali. Hata hivyo, wazazi wana wajibu wa kuamua ni nini kinachofaa zaidi familia yao. Na kwa kawaida sheria wanazoweka hudhihirisha upendo na hangaiko lao la kweli.
-