Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Pata Hekima na Ukubali Nidhamu
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
    • Tutapata mali yote ya thamani, tutazijaza nyumba zetu mateka. Wewe utashirikiana nasi; tutakuwa na vitu vyote shirika.”—Mithali 1:11-14, italiki ni zetu.

  • Pata Hekima na Ukubali Nidhamu
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
    • Wao hualika watu kwa kazi-maisha ya uhalifu—wanataka ‘kujaza nyumba zao mateka,’ nao wanataka yule asiye na ujuzi ‘ashirikiane nao.’ Hilo ni onyo la wakati ufaao kama nini kwetu! Je, magenge ya vijana na walanguzi wa dawa za kulevya hawatumii njia hizohizo kupata washiriki wapya? Je, madokezo mengi ya kibiashara yenye kutilika shaka hayafanywi kwa kutoa ahadi ya kutajirika haraka?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki