-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Uzishike amri zangu ukaishi, na sheria yangu kama mboni ya jicho lako.”—Mithali 7:1, 2.
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Vijana wanashauriwa kufuata kanuni hizo pamoja na mafundisho ya Maandiko wanayopokea kutoka kwa wazazi wao. Naam, kuna uhitaji wa kuona maagizo hayo “kama mboni ya jicho lako”—kuyalinda kadiri uwezavyo. Hiyo ndiyo njia ya kuepuka matokeo yenye kuleta kifo ya kupuuza viwango vya Yehova—na hivyo “kuishi.”
-