-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Baada ya hapo mfalme wa Israeli aeleza hali ambayo amejionea mwenyewe: “Maana katika dirisha la nyumba yangu nalichungulia katika shubaka yake;
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Solomoni alichungulia kutoka kwenye dirisha lililokuwa na kiunzi cha fito—labda muundo wenye fito zilizokingamana na michongo iliyonakshiwa sana.
-