-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
akipita njiani karibu na pembe yake, akiishika njia iendayo nyumbani kwake,
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Yaelekea anajua ujirani huo ukoje na kile kinachoweza kumpata akiwa mle. Kijana huyo yuaja karibu na “pembe yake,” iliyo njiani kuelekea nyumbani kwa mwanamke. Mwanamke huyo ni nani? Anakusudia kufanya nini?
-