-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Hivyo kijana akutana na mwanamke mpotovu mwenye mpango wa hila. Lazima Solomoni awe alizingatia jambo hilo kwa makini kama nini! Asema hivi: “Akamshika, akambusu, akamwambia kwa uso usio na haya,
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Midomo ya mwanamke huyu ni laini. Akiwa na uso usio na haya, asema maneno yake kwa uhakika. Maneno yote anayosema yamefikiriwa vizuri ili kumshawishi kijana huyo.
-