-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
kwangu ziko sadaka za amani; leo hivi nimeziondoa nadhiri zangu;
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Kwa kusema kwamba ametoa sadaka za amani siku hiyohiyo na kulipa nadhiri zake, anajionyesha kuwa mwadilifu, akidokeza kwamba hali yake ya kiroho si mbaya. Sadaka za amani kwenye hekalu katika Yerusalemu zilitia ndani nyama, unga, mafuta, na divai. (Mambo ya Walawi 19:5, 6; 22:21; Hesabu 15:8-10) Kwa kuwa mwenye kutoa sadaka angeweza kuchukua sehemu fulani ya sadaka za amani kwa ajili yake na familia yake, anadokeza kwamba ana chakula na vinywaji vya kutosha nyumbani. Dokezo hilo ni wazi: Kijana huyo angejifurahisha huko.
-