Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Uzishike Amri Zangu Ukaishi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
    • “Haya, na tushibe upendo hata asubuhi,” aendelea kusema, “tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba.” Hamwaliki tu kula mlo mkuu wa siku ulio mtamu wakiwa wawili. Amwahidi kufurahia uhusiano wa kingono. Ombi hilo lamsisimua kijana huyo na analiona kuwa jambo la kujasiria!

  • “Uzishike Amri Zangu Ukaishi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
    • “Mgeni” ambaye mfalme aliona alimtongoza kijana kwa kumwalika ‘wajifurahishe nafsi zao kwa mahaba.’ Je, vijana wengi—hasa wasichana—hawajadanganywa kwa njia kama hiyo? Lakini fikiria jambo hili: Mtu fulani anapojaribu kukutongoza ujihusishe na mwenendo usiofaa kingono, je, huo ni upendo halisi au ni uchu wa kibinafsi? Kwa nini mwanamume anayempenda mwanamke kikweli amsonge kukiuka dhamiri yake na mafunzo ya Kikristo aliyopata?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki