-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
‘Kama Ng’ombe Aendaye Machinjoni’
“Huyo akafuatana naye mara hiyo,” aripoti Solomoni, “kama vile ng’ombe aendavyo machinjoni; au mpumbavu kuadhibiwa katika pingu;
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Kijana huyo ashindwa kukataa mwaliko huo. Huku akipuuza busara, anamfuata ‘kama ng’ombe aendaye machinjoni.’ Kama vile mtu aliyefungwa pingu miguuni asivyoweza kutoroka adhabu yake, ndivyo kijana huyo anavyovutwa kwenye dhambi.
-