Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tembea Katika ‘Njia ya Unyofu’
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Septemba 15
    • Kazi yake mwenye haki [mwadilifu, NW] huuelekea uzima; mazao ya wabaya huuelekea dhambi.”—Mithali 10:15, 16.

  • Tembea Katika ‘Njia ya Unyofu’
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Septemba 15
    • Kwa upande mwingine, matendo ya mtu mwadilifu awe ana mali au la, humwongoza kwenye uhai. Jinsi gani? Anaridhika na vitu alivyo navyo. Yeye haruhusu hali yake ya kifedha iharibu msimamo wake mzuri pamoja na Mungu. Mwenendo wa mtu mwadilifu awe ni tajiri au maskini, humletea furaha sasa na tumaini la uhai udumuo milele wakati ujao. (Ayubu 42:10-13) Mwovu hanufaiki hata akipata mali. Badala ya kushukuru kwa sababu ya ulinzi unaoletwa na mali na kuishi kupatana na mapenzi ya Mungu, yeye hutumia mali zake kuishi maisha ya dhambi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki