-
“Bwana Huwapa Watu Hekima”Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
ndipo utakapofahamu kumcha BWANA, na kupata kumjua Mungu.”—Mithali 2:1-5.
-
-
“Bwana Huwapa Watu Hekima”Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
Fikiria hazina kubwa tutakazopata ikiwa kwa moyo mnyofu tunachimba sana katika Biblia. Kwani, tutapata “kumjua Mungu”—ujuzi kumhusu Muumba wetu ambao ni imara na wenye kutuletea uhai! (Yohana 17:3) ‘Kumcha BWANA’ pia ni hazina tuwezayo kujipatia. Kicho hicho chenye staha kina thamani iliyoje! Hofu ifaayo ya kutomkasirisha yapaswa iongoze maisha yetu yote, ikiongezea maana ya kiroho yale yote tufanyayo.—Mhubiri 12:13.
-