-
Biblia Ina Manufaa Hata LeoMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Kwa mfano, inasema kwamba “moyo mtulivu ni uzima wa mwili wenye nyama.” (Methali 14:30)
-
-
Biblia Ina Manufaa Hata LeoMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Utulivu, urafiki mzuri, na ukarimu unaweza kuboresha afya yako. Gazeti The Journal of the American Medical Association linasema hivi: “Wanaume wanaopandwa na hasira haraka wako katika hatari mara mbili zaidi ya kupatwa na ugonjwa wa kupooza kuliko wanaume wanaoweza kudhibiti hasira yao.”
-