-
Kuza Urafiki wa Karibu Pamoja na YehovaMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 15
-
-
Mfalme Solomoni wa Israeli la kale aanza sura ya tatu ya Mithali kwa maneno haya: “Mwanangu, usiisahau sheria yangu, bali moyo wako uzishike amri zangu.
-
-
Kuza Urafiki wa Karibu Pamoja na YehovaMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 15
-
-
(Mithali 3:1, 2) Kwa kuwa Solomoni alipuliziwa na Mungu kuandika hayo, shauri hilo kama la baba kwa kweli latoka kwa Yehova Mungu nasi ndio tunaoshauriwa. Hapa twashauriwa tutii vikumbusha vya Mungu—sheria, au mafundisho yake, na amri zake—zilizorekodiwa katika Biblia.
-