-
“Hekima Ni Ulinzi”Mnara wa Mlinzi—2007 | Julai 15
-
-
Ufahamu ni kisima cha uzima kwa hao walio nao; nayo nidhamu ya wapumbavu ni upumbavu.
-
-
“Hekima Ni Ulinzi”Mnara wa Mlinzi—2007 | Julai 15
-
-
Ndiyo, ufahamu ni “kisima cha uzima” kwa wale walio nao. Lakini namna gani wapumbavu? ‘Wanadharau hekima na nidhamu.’ (Methali 1:7) Wanapata matokeo gani wanapokataa nidhamu ya Yehova? Kama ilivyoonyeshwa hapo juu, Sulemani anasema: “nidhamu ya wapumbavu ni upumbavu.” (Methali 16:22) Kwa kawaida wanapata nidhamu zaidi, wanapoadhibiwa vikali. Wapumbavu wanaweza pia kujiletea matatizo, aibu, magonjwa, na hata kifo cha mapema.
-