-
Biblia Ina Manufaa Hata LeoMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Biblia pia inaonya hivi: “Mtu anayejitenga na wengine atatafuta mapendezi yake mwenyewe; atashindana na hekima yote inayotumika.” (Methali 18:1)
-
-
Biblia Ina Manufaa Hata LeoMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Utafiti uliofanywa kwa miaka kumi nchini Australia ulionyesha kwamba wazee ambao “wana marafiki wa karibu na pia watu wanaowaeleza mambo yao ya siri,” wanaweza kuishi kwa muda mrefu zaidi.
-