-
“Linda Moyo Wako”Mnara wa Mlinzi—2000 | Mei 15
-
-
Jipatie hekima, jipatie ufahamu [“uelewevu,” “NW”]; usiusahau; wala usiyakatae maneno ya kinywa changu.
-
-
“Linda Moyo Wako”Mnara wa Mlinzi—2000 | Mei 15
-
-
Kupata uelewevu ni muhimu pia. Bila uelewevu, je, tunaweza kuona jinsi mambo yanavyohusiana na kupata kuelewa kikamili jambo tunalochunguza? Kama hatuna uelewevu, tunawezaje kujua sababu zinazofanya mambo yafanyike kwa njia fulani na kupata ufahamu wenye kina na utambuzi? Naam, tunahitaji uelewevu ili tuweze kusababu kutokana na mambo tujuayo kisha kuamua mambo ifaavyo.—Danieli 9:22, 23.
-