-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Halafu mfalme huyo mwenye hekima aongea na vijana: “Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, wala usiiache sheria ya mama yako,
-
-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Mithali 1:8, 9, italiki ni zetu.
Katika Israeli la kale, wazazi walikuwa na daraka walilopewa na Mungu la kufundisha watoto wao. Musa aliwahimiza akina baba hivi: “Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.” (Kumbukumbu la Torati 6:6, 7) Akina mama pia walikuwa na uvutano mkubwa. Bila kupuuza mamlaka ya mume wake, mke Mwebrania angeweza kutekeleza sheria ya familia.
-