-
Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na MaadiliMnara wa Mlinzi—2000 | Julai 15
-
-
Solomoni anajibu: “Usije ukawapa wengine heshima yako, na wakorofi miaka yako;
-
-
Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na MaadiliMnara wa Mlinzi—2000 | Julai 15
-
-
Hivyo Solomoni anakazia ile hasara kubwa ya kushindwa na ukosefu wa adili. Uzinzi na kujipotezea heshima huambatana pamoja. Je, kwa kweli si jambo la kujifedhehesha kutumika tu kama chombo cha kutosheleza harara zako au za mtu mwingine zisizo za adili? Na si kukosa kujistahi unapojiingiza katika mahusiano ya kingono na mtu ambaye si mwenzi wako wa ndoa?
-