-
Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na MaadiliMnara wa Mlinzi—2000 | Julai 15
-
-
Je! chemchemi zako zitawanyike mbali, na mito ya maji katika njia kuu?
-
-
Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na MaadiliMnara wa Mlinzi—2000 | Julai 15
-
-
Na mwanamume anashauriwa kuzaa watoto nyumbani pamoja na mke wake badala ya kutawanya mbegu zake katika njia kuu, yaani, miongoni mwa wanawake wengineo. Kwa wazi, shauri hilo lamtaka mwanamume awe mwaminifu kwa mke wake.
-