-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Kabla ya kumtuma Marekani kupata elimu ya juu, baba mmoja Mwasia alimshauri mwana wake mwenye umri wa miaka 16 asishirikiane na watu wabaya. Shauri hilo lafanana na onyo la Solomoni: “Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, wewe usikubali.” (Mithali 1:10, italiki ni zetu.)
-
-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Kwa wazi, utajiri ndio kishawishi. Kwa msingi wa kutajirika haraka, “wenye dhambi” huwashawishi wengine washiriki katika njama zao za jeuri au zisizo za haki.
-