Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unatimiza Wajibu Wako Wote kwa Mungu?
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
    • Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.” (Mhubiri 12:13, 14)

  • Je, Unatimiza Wajibu Wako Wote kwa Mungu?
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
    • 16. Kuhusu hukumu, Yehova atafanya nini?

      16 Tunapaswa kutambua kwamba hakuna jambo ambalo Muumba wetu Mtukufu hawezi kuona. (Mithali 15:3) Yeye “ataleta hukumuni kila kazi.” Ndiyo, Aliye Juu Zaidi atahukumu mambo yote, hata yale ambayo hayaonekani kwa macho ya wanadamu. Kujua mambo hayo kwaweza kutuchochea tutii amri za Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki