-
Je, Kweli Unathamini Zawadi ya Mungu ya Ndoa?Mnara wa Mlinzi—2012 | Mei 15
-
-
5 Kwa sababu msichana Mshulami na kijana mchungaji walimpenda Mungu sana, ndoa yao ingekuwa imara kabisa. Kwa kweli, Mshulami alimwambia hivi mpenzi wake mchungaji: “Nitie kama muhuri juu ya moyo wako, kama muhuri juu ya mkono wako; kwa maana upendo una nguvu kama kifo, msisitizo juu ya kujitoa kikamili ni wenye kudai kama Kaburi. Miwako yake ni miwako ya moto, mwali wa moto wa Yah [kwa kuwa unatoka kwake].
-
-
Je, Kweli Unathamini Zawadi ya Mungu ya Ndoa?Mnara wa Mlinzi—2012 | Mei 15
-
-
Kama mtu angetoa vitu vyote vyenye thamani vya nyumba yake kwa ajili ya upendo, hakika watu wangevidharau.” (Wim. 8:6, 7)
-