Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ibada ya Kweli Yapanuka Ulimwenguni Pote
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kwa nini afanye hivyo haraka? Unabii unaendelea kusema hivi: “Tazama, giza litaifunika dunia, na giza kuu litazifunika kabila za watu; bali BWANA atakuzukia wewe, na utukufu wake utaonekana juu yako.” (Isaya 60:2) Ni lazima “mwanamke” huyo ‘aangaze’ kwa faida ya wale wanaomzunguka, ambao wangali wanapapasa-papasa gizani.

  • Ibada ya Kweli Yapanuka Ulimwenguni Pote
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata hivyo, mwaka wa 537 K.W.K., mabaki waaminifu kati ya Wayahudi waliohamishwa wanarudi Yerusalemu na kurudisha ibada safi. Mwishowe, Yehova anaangaza nuru juu ya “mwanamke” wake, na watu wake waliorudishwa wanakuwa chanzo cha kuangaza nuru miongoni mwa mataifa yaliyo katika giza la kiroho.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki