-
Mungu Yumo Katika Hekalu Lake TakatifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
hata BWANA atakapowahamisha watu waende mbali sana, na mahame yatakapokuwa mengi ndani ya nchi.” (Isaya 6:11, 12)
-
-
Mungu Yumo Katika Hekalu Lake TakatifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
18. Hali mbaya ya kiroho ya watu itaendelea hata lini, na je, Isaya ataishi hata aone utimizo kamili wa unabii huo?
18 Salala! Jibu la Yehova laonyesha kuwa hali mbaya ya kiroho ya watu hao itaendelea hata matokeo kamili ya kutomtii Mungu yatimizwe, kama yalivyotaarifiwa katika agano lake. (Mambo ya Walawi 26:21-33; Kumbukumbu la Torati 28:49-68) Taifa litaharibiwa, watu watahamishwa, na nchi itabaki ukiwa. Isaya hataishi hata aone jeshi la Wababiloni likiharibu Yerusalemu na hekalu lake mwaka wa 607 K.W.K., ingawa atatoa unabii kwa zaidi ya miaka 40, akiendelea hadi katika utawala wa Hezekia, kitukuu wa Mfalme Uzia. Ijapokuwa hivyo, Isaya atatimiza kwa uaminifu utume wake hadi afapo, zaidi ya miaka 100 kabla ya kutukia kwa msiba huo wa kitaifa.
-