-
“Mdogo” Amekuwa “Elfu”Mnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
Wanakuja ‘Wakiruka Kama Wingu’
10. Licha ya idadi inayopungua ya watiwa-mafuta, kwa nini jina la Yehova linatangazwa kwa njia isiyo na kifani?
10 Yehova sasa auliza: “Ni nani hawa warukao kama wingu, na kama njiwa waendao madirishani kwao?
-
-
“Mdogo” Amekuwa “Elfu”Mnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
11. (a) Ni nini ambacho bado chaendelea, na kulikuwa na matokeo gani mwaka wa 1999? (b) Ni nchi zipi ambazo zilikuwa na idadi zenye kutokeza za waliobatizwa mwaka wa 1999? (Ona chati kwenye ukurasa wa 17-20.)
11 Matokeo ni kwamba mamilioni wanamiminika “kama njiwa waendao madirishani kwao” na kupata usalama katika kutaniko la Kikristo. Mamia ya maelfu huongezwa kila mwaka, na njia bado iko wazi kwa wengine zaidi.
-