-
Sala ya TobaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ni Yehova Peke Yake Awezaye Kuokoa
8. (a) Yehova anatofautiana na miungu ya uwongo ya mataifa kwa njia gani moja? (b) Kwa nini Yehova hachukui hatua kuwaokoa ingawa ana uwezo wa kufanya hivyo? (c) Paulo ananukuu na kutumia Isaya 64:4 kwa njia gani? (Ona sanduku katika ukurasa wa 366.)
8 Miungu ya uwongo haiwafanyii waabudu wake maajabu yoyote ya wokovu. Isaya anaandika hivi: “Tangu zamani za kale watu hawakusikia, wala kufahamu kwa masikio, wala jicho halikuona Mungu, ila wewe, atendaye mambo kwa ajili yake amngojaye.
-
-
Sala ya TobaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ni Yehova peke yake aliye “mthawabishaji wa wale wanaomtafuta kwa bidii.” (Waebrania 11:6)
-