Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 7, 8. Watu wa Yehova walio na vichwa vigumu wamechocheaje hasira yake?

      7 Wayahudi wenye vichwa vigumu wamechochea hasira ya Yehova mara nyingi kwa mwenendo wao wa aibu. Yehova anaeleza hivi kuhusu matendo yao yenye kuudhi: “Watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;

  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 65:3

  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Watu hawa ambao wanaonekana kama wenye kicho wanamwudhi Yehova ‘mbele za uso wake’—usemi unaoweza kumaanisha ujeuri na madharau. Hawajitahidi hata kidogo kuyaficha machukizo yao. Je, si kweli kwamba hatia ya dhambi zao inazidi kuwa kubwa kwa sababu wanazitenda pale pale mbele za Yule wanayepaswa kumheshimu na kumtii?

  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Watu hao wanaodai eti ni “wenye kicho” wanatoa dhabihu na kuiwashia uvumba miungu ya uwongo, jambo linalokatazwa na Sheria ya Mungu. (Kutoka 20:2-6)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki