Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 18. Wale ambao wamemwacha Yehova watabaki na kitu gani, na kuapa kwa jina lao huenda kukawa kunadokeza nini?

      18 Yehova anaendelea kuongea na wale ambao wamemwacha: “Nanyi mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa wateule wangu. Na Bwana MUNGU atakuua; naye atawaita watumishi wake kwa jina lingine.

  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 65:15,

  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Wale ambao wamemwacha Yehova watabaki na jina lao tu, nalo litatumika katika kuapa tu, au kulaani. Huenda hiyo ikamaanisha kwamba wale wanaotaka kujifunga kwa kiapo kizito, watakuwa ni kama wanasema hivi: ‘Nisipotimiza ahadi hii, acha nipatwe na adhabu iliyowapata wale waasi-imani.’ Huenda hata ikamaanisha kwamba jina lao litatumiwa kwa njia ya mfano, kama Sodoma na Gomora, ili liwe mfano wa adhabu ya Mungu juu ya waovu.

      19. Watumishi wa Mungu wataitwaje jina jingine, na kwa nini watakuwa na uhakika wa kumwamini yule Mungu wa uaminifu? (Ona pia kielezi-chini.)

      19 Lakini hali ya watumishi wa Mungu itakuwa tofauti kama nini! Wataitwa jina jingine. Hiyo ni kuonyesha kwamba watabarikiwa na kuheshimiwa wakiisha kurudi katika nchi ya kwao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki