Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 6, 7. (a) Ni ahadi zipi tukufu anazofumbua Yohana, na ni akina nani watakaofurahia baraka hizo? (b) Isaya anaelezaje habari ya paradiso ambayo ni ya kiroho na kimwili pia?

      6 Yohana aendelea kusema: “Na yeye atapangusa kabisa kila chozi kutoka macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala hakutakuwapo kuomboleza wala kuguta wala umivu tena. Vitu vya kwanza vimepitilia mbali.” (Ufunuo 21:4, NW) Kwa mara nyingine tena, tunakumbushwa juu ya ahadi zilizovuviwa za mapema zaidi.

  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Wakati huo, pia, “watajenga nyumba, na kukaa ndani yake; watapanda mizabibu, na kula matunda yake. Hawatajenga, akakaa mtu mwingine ndani yake; hawatapanda, akala mtu mwingine; maana kama siku za mti ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, na wateule wangu wataifurahia kazi ya mikono yao muda wa siku nyingi.” (Isaya 65:21, 22) Kwa hiyo hawatang’olewa mizizi kutoka dunia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki