-
Je, Utakuwepo Katika Ulimwengu Mpya?Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 15
-
-
17. Wazazi watatiwa moyo hasa na ahadi gani?
17 Ikiwa wewe ni mzazi, maneno haya yatakugusa moyo: “Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao.
-
-
Je, Utakuwepo Katika Ulimwengu Mpya?Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 15
-
-
(Isaya 65:23, 24) Je, unajua maumivu ya ‘kuzaa kwa taabu’? Hatuhitaji kuorodhesha matatizo yawezayo kuwapata watoto ambayo huwataabisha wazazi na watu wengine. Kuhusiana na hilo, sote tumeona wazazi ambao hujishughulisha sana na kazi, utendaji, au anasa zao wenyewe hivi kwamba hawana wakati wa kutosha kwa watoto wao.
-