-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
26, 27. (a) Isaya atabiri matukio gani? (b) Maneno ya Isaya yaonyesha nini kwa watumishi wa Yehova leo?
26 Isaya aendelea na maonyo yake: “Kwa sababu watu hawa wameyakataa maji ya Shiloa yapitayo polepole, na kufurahi kwa ajili ya Resini na huyo mwana wa Remalia, basi sasa angalia;
-
-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
27 “Watu hawa,” ufalme wa kaskazini wa Israeli, wakataa agano la Yehova na Daudi. (2 Wafalme 17:16-18) Kwa maoni yao, agano hilo ni hafifu kama maji yanayotiririka ya Shiloa, mfereji unaoleta maji Yerusalemu. Wanafurahia vita yao dhidi ya Yuda.
-