-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
basi sasa angalia; Bwana aleta juu yao maji ya huo Mto, yenye nguvu, mengi sana, nayo ni mfalme wa Ashuru na utukufu wake wote; naye atakuja, na kupita juu ya mifereji yake yote, atafurika juu ya kingo zake zote;
-
-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Lakini dharau hilo halitakosa kuadhibiwa. Yehova atawaruhusu Waashuri ‘wafurike,’ au wapindue, Siria na Israeli, kama vile Yehova atakavyoiruhusu sehemu ya kisiasa ya ulimwengu ifurike milki ya dini isiyo ya kweli. (Ufunuo 17:16; linganisha Danieli 9:26.)
-