-
Ole Wao Waasi!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19, 20. Hali ya waamuzi wafisadi wa Israeli itabadilishwaje, na “utukufu” wao utakuwaje?
19 “Nanyi mtafanya nini siku ya kujiliwa, na wakati wa uangamivu, utakaokuja kutoka mbali sana? Je! mtamkimbilia nani mpate msaada? na utukufu wenu mtauacha wapi?
-
-
Ole Wao Waasi!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wajane na mayatima hawana waamuzi wenye haki wa kukata rufani kwao. Basi yastahili sana kwa kuwa Yehova sasa awauliza waamuzi hao Waisraeli wafisadi watamwendea nani kwa sababu sasa Yehova anataka watoe hesabu. Naam, karibuni watatambua kuwa “ni jambo lenye kuhofisha kuanguka katika mikono ya Mungu aliye hai.”—Waebrania 10:31.
20 “Utukufu” wa waamuzi hao waovu—fahari ya kilimwengu, staha, na uwezo unaotokana na mali na cheo chao—hautadumu.
-