Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Msiogope Ashuru
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 13. Tambulisha na utaje kinachotukia kwa (a) “walionona.” (b) ‘mbigili na miiba.’ (c) “utukufu wa msitu wake.”

      13 Ni nini kitakachompata Ashuru? “Bwana, BWANA wa majeshi, atawapelekea kukonda watu wake walionona; na badala ya utukufu wake kutawashwa kuteketea kama kuteketea kwa moto.

  • Msiogope Ashuru
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Naam, Yehova atachonga-chonga “fimbo” hiyo ya Ashuru! “Walionona” katika jeshi la Ashuru, wanajeshi wake hodari, wataambukizwa ugonjwa wa “kukonda.” Hawataonekana kuwa na nguvu hivyo!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki