Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Msiogope Ashuru
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 10:20-23

      Sura ya 10 ya Isaya yakazia hasa jinsi ambavyo Yehova atatumia uvamizi wa Ashuru ili kutekeleza hukumu juu ya Israeli na pia kuhusu ahadi yake ya kukinga Yerusalemu. Kwa kuwa mistari ya 20 hadi 23 yapatikana katikati ya unabii huo, yaweza kuonwa kuwa ina utimizo wa jumla katika kipindi kilekile. (Linganisha Isaya 1:7-9.) Hata hivyo, maneno yake yadokeza kuwa mistari hiyo yahusu hasa nyakati za baadaye ambapo Yerusalemu pia litatozwa hesabu kwa sababu ya dhambi za wakazi wake.

      Mfalme Ahazi ajaribu kupata usalama kwa kutafuta msaada kwa Ashuru. Nabii Isaya atabiri kuwa wakati fulani baadaye, waliosalia katika nyumba ya Israeli hawatafuatia tena kamwe mwendo huo wa kipumbavu. Isaya 10:20 yasema kwamba “watamtegemea BWANA [“Yehova,” NW], Mtakatifu wa Israeli, kwa kweli.”

  • Msiogope Ashuru
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Baadaye wasio Wayahudi wenye kuamini wakajiunga nao, wakifanyiza taifa la kiroho, “Israeli wa Mungu.” (Wagalatia 6:16) Katika pindi hiyo, maneno ya Isaya 10:20 yalitimizwa: Taifa lililojiweka wakfu kwa Yehova halikumwacha “tena” kamwe ili kutegemezwa na binadamu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki