Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wokovu na Kushangilia Chini ya Utawala wa Mesiya
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 25 Tumaini la Waisraeli waliorudishwa katika Yehova lathibitishwa kikamili, nao wapaza sauti: “Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; nitatumaini wala sitaogopa; maana BWANA [“Yah,” “NW”] YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; naye amekuwa wokovu wangu.

  • Wokovu na Kushangilia Chini ya Utawala wa Mesiya
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 12:2,

  • Wokovu na Kushangilia Chini ya Utawala wa Mesiya
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Neno la Kiebrania lililotafsiriwa “wimbo” katika mstari wa 2 ni “sifa” katika tafsiri ya Septuagint. Waabudu washangilia kwa nyimbo za sifa kwa sababu ya wokovu kutoka kwa ‘Yah Yehova.’ Neno ‘Yah,’ ambalo ni ufupi wa jina Yehova, hutumiwa katika Biblia kuonyesha hisia zilizozidishwa za sifa na shukrani. Kutumia usemi ‘Yah Yehova’—kurudia mara mbili jina la Mungu—huinua ukuu wa sifa kwa Mungu kufikia kiwango cha juu hata zaidi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki