-
“Na Tunyoshe Mambo”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
21, 22. Ni nini kinachomaanishwa na takataka na divai iliyochanganywa na maji, na kwa nini ufafanuzi huo wafaa viongozi wa Yuda?
21 Yaonekana kuwa viongozi miongoni mwa watu wanachangia sana tatizo hilo. Isaya aendelea na kilio chake: “Fedha yako imekuwa takataka, divai yako imechanganywa na maji.
-
-
“Na Tunyoshe Mambo”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Vielezi viwili vinavyofuatana upesi vyawatayarisha wasomaji kwa ajili ya mambo ambayo hayana budi kufuata. Mhunzi kwenye kalibu yake huondoa takataka katika fedha iliyoyeyuka na kuitupa. Wakuu na waamuzi wa Israeli ni kama takataka, wala si fedha. Wanahitaji kutupwa. Hawana faida tena kama vile divai iliyochanganywa na maji na kupoteza ladha yake isivyo na faida. Kinywaji hicho chastahili tu kumwagwa!
-