-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
22. Kishairi, Sheoli yaathiriwaje na kuanguka kwa nasaba ya wafalme ya Babiloni?
22 Babiloni yaanguka kwa ajabu sana hivi kwamba kaburi lenyewe lajibu hivi: “Kuzimu [“Sheoli,” “NW”] chini kumetaharuki kwa ajili yako, ili kukulaki utakapokuja; huwaamsha waliokufa kwa ajili yako, naam, walio wakuu wote wa dunia; huwainua wafalme wote wa mataifa, watoke katika viti vyao vya enzi.
-
-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Huo ni mfano wa kishairi wenye nguvu kama nini! Ni kana kwamba kaburi la ujumla la wanadamu lapaswa kuwaamsha wafalme wote waliokufa kabla ya nasaba ya wafalme ya Babiloni ili wapate kumlaki mgeni huyo.
-